Tuesday, March 20, 2018

Wachezaji sita wenye staili zaidi leo hii

Wao si maarufu tu katika soka, lakini pia nje ya uwanja katika sekta ya mitindo. Wachezaji kama Cristiano Ronaldo, Aaron Ramsey na Daniel Sturridge hawawezi kuwa na wasiwasi kuhsu sekta ya kuhamia baada ya kutundika buti zao za mpira wa...

Rojo na Jones kuindoka Manchester United

Manchester United bado wana nia ya kumsajili Jose Fonte kutoka Southampton na wanaweza kumuuza Marcos Rojo na Phil Jones kabla ya dirisha la usajili kufunga milango, wakati Jose Mourinho anaendelea kujenga upya kikosi chake kwa ajili ya ubingwa wa Ligi...

Chelsea kumsajili beki wa Wolfsburg Ricardo Rodriguez

Chelsea wameripotiwa kutambua beki wa Wolfsburg Ricardo Rodriguez, ambaye sasa dili lake litatiliwa nanga mwaka 2019, kama shabaha la uhamisho kabla ya dirisha la usajili kufunga milango.Chelsea wanawinda walinzi baada ya kuwaruhusu Nathan Ake na Baba Rahman kuondoka klabu kwa mkopo, na...

Picha 11 zitakazokufanya useme ‘Ningependa baba yangu angekuwa MCHEZAJI WA SOKA’

Kama wazazi wengine wowote, wachezaji wa kandanda huchukua muda wa kuwa karibu na watoto wao na kuwapa utunzo wa kizazi.Na muda mrefu wachezaji hufurahia kuadhimisha ushindi wakiwa pamoja na watoto wao. Hapa tuna mkusanyiko wa picha 11 ambazo zitakusisimua na zikufanye...

Jose Mourinho ashangazwa na Eric Bailly

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amekiri kuwa amevutiwa na Eric Bailly tangu kuwasili kwake kwenye Old Trafford.Mkodivaa wa kimataifa, anayeweza kukabiliana na ushindani wa Chris Smalling kupata nafasi ya kwanza uwanjani, alijiunga na Red Devils mwezi Juni 8, 2016...

Arsenal wapata habari nzuri ya kurudi kwa Danny Welbeck

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amebaini kwamba Danny Welbeck anaweza kurudi uwanjani katika Desemba.Mwenye umri wa miaka 25 amepata kuumia goti lake la kulia mezi Mei wakati wa sare ya 2-2 dhidi ya Manchester City mwishoni mwa msimu uliopita, vilivyomsababisha kutolewa nje...

Schweinsteiger apewa nafasi moja zaidi ya kucheza kwa Nchi yake

Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger amepewa na Ujerumani mchezo wa kumuaga baada ya kustaafu kwake kimataifa, na wanajiandaa kucheza na Finland tarehe 31 Agosti, Shirikisho la Soka Ujerumani (DFB) limetangaza.Mwenye umri wa miaka 32, ambaye sasa hapendelewi katika Old Trafford tangu...

Jose Mourinho akutana na Mario Balotelli

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ameripotiwa kuwa amekutana kirasmi na mshambuliaji wa Liverpool mwenye umri wa miaka 26 Mario Balotelli, ripoti kutoka Calciomercato.Red Devils hawana nia ya kumsajili mshambuliaji huyu lakini Jose Mourinho anaripotiwa ametoa baadhi ya maneno ya ushauri...

Arsenal washindwa kufikia bei ya Shkodran Mustafi

Arsenal kumhamisha Shkodran Mustafi kumeripotiwa kuwa dili limegonga mwamba kwa kuwa hawana uwezo wa kukutana na bei ya Valencia £25m kwa mlinzi.Arsene Wenger alidhaniwa kuwa karibu ya kumleta Mjerumani wa kimataifa katika Uwanja wa Emirates, lakini kwa mujibu wa Mirror, meneja wa Arsenal hataenda...

Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Brazil Gabriel Barbosa

Manchester United wameripotiwa kuwa wako karibu kushinda mbio za kuwania saini ya kijana wa Brazilia Gabriel Barbosa katika dirisha hili la usajili.Meneja wa Red Devils Jose Mourinho tayari alitumia kitita cha £157m kuwasajili wachezaji wapya katika kiangazi hiki na...