Rekodi 10 STAAJABU Duniani zilizoandikwa na Cristiano Ronaldo

Staa wa Real Madrid Cristiano Ronaldo huonekana kama mmoja wa wachezaji bora katika historia ya soka duniani baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo la FIFA Ballon d'Or katika timu mbili tofauti, mwaka 2008 (Manchester United), 2013 na...